s:607:"%T Muhtasari Wa Mpango Wa Kusimamia Bonde Ndogo La Maji la Itare-Chemosit 2018-2022 %A Water Resources Authority and Itare-Chemosit Water Resource Users Association (WRUA) %X Toleo hili ni muhtasari wa Mpango wa Kusimamia Bonde Ndogo la Maji (Sub-catchment management plan-SCMP). Muhtasari huu unalenga programu za SCMP, hasa katika kila lengo, tokeo na bajeti ya programu. Muhtasari huu vilevile umetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili ili kuhakikisha kuwa idadi kubwa ya watu inaweza kuusoma na kuwa toleo linapatikana kwa urahisi. Ripoti kamili ya SCMP inapatikana pia kwa mtu yeyote anayetakakuisoma. ";