{{menu_nowledge_desc}}.

CIFOR–ICRAF publishes over 750 publications every year on agroforestry, forests and climate change, landscape restoration, rights, forest policy and much more – in multiple languages.

CIFOR–ICRAF addresses local challenges and opportunities while providing solutions to global problems for forests, landscapes, people and the planet.

We deliver actionable evidence and solutions to transform how land is used and how food is produced: conserving and restoring ecosystems, responding to the global climate, malnutrition, biodiversity and desertification crises. In short, improving people’s lives.

Kusaidia ubunifu wa mkulima katika urejesho: Mwongozo wa hatua tano kwa kutumia mtazamo wa chaguo za kimuktadha katika urejeshaji wa ardhi

Export citation

Changamoto kubwa ya kurejesha ardhi iliyoharibiwa ni kwamba kiikolojia, kiuchumi, kijamii na kitaasisi hutofautiana baina ya eneo hadi eneo, kijiji hadi kijiji na hata boma hadi boma. Hakuna teknolojia moja, uingiliaji kati au mbinu yafaa hali zote. Kinachohitajika kwa dharura ni chaguo muhimu zinazofaa mazingira ambazo zitafanya kazi kwa wakulima na jamii tofauti katika miktadha aou mazingira tofauti.

Related publications